3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


INAUZWA NA BANK,TSHS.40 MILIONI TU, WAHI-KIMARA MAVURUNZA.
Hapa ni umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka KIMARA MWISHO/MWENDOKASI.
Nyumba iliyopo ni ya kisasa na ina vyunba vya kulala 2( Masta 1) Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Msingi wa nyumba kubwa vyumba 3.
Ndani ya Fensi.
Kiwanja SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________jj



















