3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
PAGALE ZURI LINAUZWA KIMARA KOROGWE
Ina vyumba vitatu viwili master umiliki mauziano ya serikali ya mtaa ukubwa kiwanja sqmt 300 umbali kutoka kituo Cha korogwe mpaka pagale lilipo ni kilometers 1.5 :: Bei :: 50 milioni (makadilio) Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=