3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







#BEI 500K X6 
#STAND_ALONE INAPANGISHWA KIMARA BARUTI 
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK 10-12 KUTEMBEA KWA MIGUU 
NI NYUMBA KUBWA INAYOFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI 
#VYUMBA 3 VITATU VYA KULALA 
#KIMOJAWAPO NI MASTER 
#SEEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI NA YA NJE 
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI 
UMEME LUKU YAKE PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI 
NB
NYUMBA HII INARUDIWA RANGI UPYA NJE NA NDANI  NA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA KAZI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K 
CONT ๐
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















