3 Bedrooms House for sale at Kinondoni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Kinondoni.
-Nyumba Ina vyumba 3 vya kulala, Chumba kimoja master, sitting room, dining room, kitchen na public toilet
-Square meter 371.
-Document: Title Deed
Bei ni shilingi 400m maongezi yapo