3 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NA BANK, TSHS.39 MILIONI, MALAMBA MAWILI.
Ina vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 900.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa mita 300 tu kutoka
Barabara ya Kinyerezi/Mbezi.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu.