3 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Kinyerezi Mwisho.
Ukubwa: SQM 400
Bei: Mil 75
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Mafeni
- Maji dawasco
- Electric fence
Muhitaji piga 0688 412 890.