3 Bedrooms House for sale at Kisesa, Mwanza


NYUMBA INAUZWA KISESA
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 30x30
-umeme, maji na barabara vipo
-bei Milioni 20
NB:- Nyumba iko karibu na barabara ya lami
☎️ 0743220097