3 Bedrooms House for sale at Kisima, Kilimanjaro
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F84b7a187-2a8b-4879-a2d2-ae30a69afb3e.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F84b7a187-2a8b-4879-a2d2-ae30a69afb3e.jpg&w=256&q=75)
Nyumba kalli sana ina uzwa tsh mil 105 tu
Nyumba nzuri sana Ina eneo kubwa square mitar 450
Ina document yamsuziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vipo vitatu vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom
Ina sitting room na dining room inajiko na store ina kisima chamaji na umeme upo wa luku
Nyumba nzuri sana Ina fence gari ndogo 2 zina ingia ndani Njoo site ukague mdau wangu nyumba nzuri sana ukiwa serious Uwezi kuiyacha kabisa
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki whatspp 0759 0652618143. 0759 203175