3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


Hii ni nyumba inauzwa. Ni ya kumalizia.
Ina vyumba vitatu (kimoja master), sebule, jiko, dinning, public toilet n.k.
Pia shimo la choo lipo.
Ipo kivule karibu na lami.
Ukubwa ni 20x20 na pamepimwa.
Bei Mil 13.
Muhitaji piga 0688 412 890.