3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa - Kivule!
📍 Eneo: Kivule, karibu na barabara ya lami.
🏠 Maelezo: Nyumba ya kumalizia, vyumba 3 (1 master), sebule, jiko, dining, choo cha umma, na shimo la choo.
📏 Ukubwa: 20x20 m, imepimwa.
💰 Bei: TZS 8.5 mil
📞 Wasiliana: 0688 412 890 kwa maelezo zaidi au kutembelea.
⏳ Haraka! Fursa hii ni ya muda mfupi!