3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI (SASA NJOO NA TSHS.58 MILIONI TU. KIVULE SOKONI.
WANASEMA KIMFAACHO MTU CHAKE.
MWENYEWE KARIDHIA KUIPOROMOSHA BEI.
Ubora wa Mali hii,
Maeneo ilipo na mazingira hii ni Bei Rafik sana.
Nyumba ni mpya kabisa.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule,Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
NI NYUMBA YAKUHAMIA.
Unapabga Daladala moja kufika Mjini.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255714591548
______________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.