3 Bedrooms House for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam





NYUMBA INAUZWA – KUNDUCHI MTONGANI (KARIBU NA WIZARA YA UVUVI)
Nyumba hii inapatikana Kunduchi Mtongani, karibu kabisa na Wizara ya Uvuvi. Imezungushiwa uzio wa umeme (electric fence)
Umbali kutoka barabara kuu: Takribani mita 700.
Nyumba inajumuisha:
-Sebule
-Jiko
-Chumba cha kulia chakula (Dining)
-Vyumba 3 vya Master (vyote self-contained)
-Choo cha kawaida (Public toilet) 1
-Servant quarter (chumba cha mfanyakazi)
Ukubwa wa kiwanja: Square Meter 1,163
Bei ya kuuza: TZS 370,000,000 (Milioni mia tatu na sabini)
Umiliki: Full Document kutoka Wizarani
__
#0714335450