3 Bedrooms House for sale at Mabwepande, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA IMEKAMATA BARABARA YA MTAA INAUZWA KWA NIABA YA BANK MABWEPANDE (KINONDONI MUNICIPALITY).
Ina  Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet 
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa  Eneo: SQM 400
Mark : Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa Mabwepande 
Umbali: Meter 100 Kutoka Barabara kuu 
Bei : 35 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=



















