3 Bedrooms House for sale at Mabwepande, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA IMEKAMATA BARABARA YA MTAA INAUZWA KWA NIABA YA BANK MABWEPANDE
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Mark : Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa Mabwepande
Umbali: Meter 100 Kutoka Barabara kuu
Bei : 30.mil
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
#Call 0713355828 au 0616651976
#Whatsap +255 713958553