3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba Mpya Inauzwa
Mahali: Madale Uzunguni
Bei: Milioni 350 (Maongezi)
☑️Unakabidhiwa Ikiwa Imekamilika
☑️Sqm 700
☑️Vyumba 3, Vyote Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
☑️Ina Boy Kota
☑️Huduma Zote Zimefika
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Call & WhatsApp: 0764486945
Call: 0682699988
Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz