3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA MADALE FLAMINGO - (MILLION 150)
Ina Vyumba Vitatu Self Contained, Dinning ,Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limerasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Umbali: Meter 150 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Madale Road)
Bei : 150 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=