3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


✨ NYUMBA INAUZWA – MADALE | KM 1.5 TOKA LAMI 🏡
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa, ipo kwenye eneo tulivu lenye mandhari ya kuvutia – tayari kwa makazi!
📍 Eneo: Madale (Umbali wa 1.5 KM kutoka barabara ya lami)
🛏 Vyumba 3 vyote ni Master
🛋 Sebule
🍽 Jiko
🚽 Public Toilet
📐 Ukubwa wa Kiwanja: 700 SQM
📄 Nyaraka: Hati ya mauziano
💰 Bei: TSh 170,000,000
🗣️ Maongezi yapo mezani
📞 Wasiliana: 0745559598