3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam






Nyumba nzuri sana inauzwa:
Room 3.moja self
Dirning sitting jiko public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 400
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 140 maongezi
Location- madale flamingo
Umbali-mita 200 kutoka main road
0745559598