3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam







Ghorofa ya kumalizia finishing inauzwa:
Lipo ndani ya fensi na mtaa ni mzuri sana
Room 3 masta 2
Dirning sitting jiko stoo public toilet bafu na maji dawasco
Eneo-sqm 500
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 165 maongezi
Location- madale flamingo
Umbali-mita 500 kutoka main road
Karibuni
0746 433 854