3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


🌟 🏠 NYUMBA INAUZWA – MADALE KITUO CHA POLISI 🚨
Unatafuta nyumba ya kumalizia kwenye eneo tulivu na salama?
Nyumba hii inapatikana Madale, karibu kabisa na Kituo cha Polisi – mahali pazuri kwa familia! 👨👩👧👦✨
🔹 SIFA ZA NYUMBA:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala
🔑 Vyumba 2 ni Master bedrooms (vina vyoo ndani)
🛋️ Sebule kubwa
🍽️ Dining room
🍳 Jiko
📦 Stoo
🚽 Choo cha familia (public toilet)
📐 Ukubwa wa Kiwanja: 500 SQM
INAHATI MILIKI
💵 Bei: TZS Milioni 90 (maelewano yapo)
📍 Mahali: Madale – karibu na Kituo cha Polisi
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kuona nyumba:
#0689138795whatsapp
#0758998074👈