3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA YA KISASA NA KIFAHARI INAUZWA – MADALE! ✨
📍 Mahali: Madale, mita 300 kutoka lami
🛏 Nyumba Kuu:
Vyumba 3 (2 Master Bedrooms)
Sebule zipo mbili
Kubwa na ndogo
Jiko | Dining | Public Toilet
🏊♂️ Swimming pool ya kuvutia
🏠 Nyumba ya Pili
Vyumba 2
1 Master Bedroom
Sebule na Jiko
✅ Nyumba zote zipo kwenye kiwanja kimoja, na finishing ya kisasa
✅ Eneo tulivu, salama, na jirani na huduma zote muhimu
✅ Kiwanja kimezungushiwa uzio
💰 Bei: TSh 1.5 Bilioni (Maongezi yapo)
#0758998074👈
#0689138795whatsapp
📩 DM kwa viewing au maelezo zaidi
🔖 #NyumbaInauzwa #MadaleProperty #LuxuryHomeTZ #RealEstateTanzania #Udalali