3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MADALE MWISHO - (MILLION 70).
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Umbali: 1.7 Kilometres Kutoka Barabara Kuu Ya Lami (Madale Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 70 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=