3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI FULL FUNITURE INAUZWA - MADALE ATLAS
✔️Ina Vyumba Vitatu Kati Ya Hvyo Viwil Ni Self Contained, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
✔️Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
✔️Ukubwa Wa Eneo: SQM 700
📍Umbali: Meter 900 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Madale Road)
✔️Maji Safi Na Umeme Vyote Vipo Kwenye Nyumba
✔️Nyumba Inauzwa Na Vitu Vya Ndani Vyote
💰Bei : 360 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254