3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


✨ NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA – MADALE FLAMINGO! 🏡
Unatafuta nyumba iliyo tayari kuhamia, yenye mazingira tulivu na hati miliki? Hii hapa ni nafasi yako!
📍 Mahali: Madale Flamingo
🛏 Vyumba 3 (1 Master Bedroom)
🛋 Sebule
🍽 Jiko + Dining
🚽 Public Toilet
📄 Inamiliki hati miliki halali
📐 Ukubwa wa Kiwanja: 595 sqm
✅ Eneo zuri, linalofikika kwa urahisi
✅ Umeme na maji vinapatikana
💰 Bei: TSh 150 Milioni
📉 Maongezi yapo mezani
#0689138795whatsapp
#0758998074👈
📩 DM kwa viewing au maelezo zaidi
🔖 #NyumbaInauzwa #MadaleFlamingo #RealEstateTZ #udalaliwauhakika