3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam







Nyumba mpya kali sana inauzwa: House for Sale
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 598
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 170 maongezi Service Charge 50 Kuona Nyumba Site fee TSH 50
Location- madale flamingo
Umbali-km 1 kutoka main road madale flamingo
Angalizo: hii nyumba hairuhusiwi kupostiwa Instagram, Facebook , Tiktok na kwingineko, atumiwe mteja tu au dalali mwenye mteja
Karibuni