3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana ya kisasa inauzwa:
Ya kumalizia finishing 
Room 3 moja self 
Dirning sitting jiko stoo na public toilet 
Eneo-sqm 1000
Umiliki-mauziano serikali za mtaa 
Bei-ml 90 maongezi
Location- madale mwisho 
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale mwisho 
Karibuni
0682-733-404
0718-599-210




















