3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MADALE- (MILLION 140)
Mawasiliano: 0715127812
Ina Vyumba Vitatu kimoja Self Contained, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo : SQM 700
Umbali: Meter 600 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Goba Centre)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 140 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
dalalimbezibeach_salasala
#0692406639
Call/whatsp