3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA MADALE FLAMINGO - (MILLION 140)
Mawasiliano: 0745559598
Ina Vyumba Vitatu Self Contained, Dinning ,Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limerasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Umbali: Meter 150 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Madale Road)
Bei : 140 Million
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 50,000/=
0745559598