3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba mpya ya kisasa inauzwa:
Room 3 masta 2
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Full A/C sebuleni na masta
Pia Kuna chumba cha nje na Choo
Eneo-sqm 600
Kumepimwa Hati bado
Bei-ml 350 maongezi
Location- madale kwa kawawa
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale Shelaton
Karibuni
0712656027