3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA MADALE MWISHO - (MILLION 180).
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo LimelasimishwaTayari Namba Ya Kiwanja Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 600
Umbali: Meter 400 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Madale Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 180 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=