3 Bedrooms House for sale at Majohe, Dar Es Salaam






Nyumba inauzwa ipo majohe jiji la dsm jimbo la ukonga Nyumba ya vyumba 3 vya Kulala stingiroom dainingiroom master toilet pclic kicheni Nyumba ina kisima cha cha Nyumba ina hati ya serekari ya mtaa ukubwa sqm 400 Nyumba ina frem chumba 4 Nyumba umeme upo maji yapo bei ml 70
0759128747 } { 0712058357/whatsapp