3 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
---------
INA VYUMBA 3 VYA KULALA [ HAINA MASTER ]
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
PUBLIC TOILET YA NJE
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW YAPO 24HRS.
HAINA FENSI MAZINGIRA MAZURI GARI INAFIKA MPAKA HAPO.
---------
UKUBWA WA ENEO NI SQM = 109
ENEO LIMESHARASIMISHWA
BEI MILIONI 50
MAZUNGUMZO YAPO.
------
KWENDA KUONA SITE NI ELFU 30,000 /= HII ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA UITAKAYO BILA KUCHAJIWA TENA.
---------
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347