3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ipo mbagala kisewe Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa kisewe
Bei milioni { 49,000,000/= milioni
0712058357 } { 0759128747
Ina uzwa iyo nyumba Bei nzuri sana tsh million 49 tu
Nyumba nzuri sana kubwa ya kisasa kabisa ina eneo kubwa square miter 700
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom
Ina sitting room
Na daining room na jiko
Ina public toilet ina maji na umeme
Ukubwa wa eneo square miter 700
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Ina fence gari ndogo 3 zina ingia ndani
Usikubar kuikosa kabisa wadau wangu nyumba nzuri sana mwenyewe ana shida sana kavulugwa ana itupa tu kwa bei nafuu sana tsh million 49 tu
Nipigie cm au nichek Whatsapp 0624436503
0759128747