3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YENYE VYUMBA 3, TSHS.60 MILIONI, MBAGALA-CHAMAZI.
Hii nyumba ni YAKUHAMIA tu.
Eneo ni CHAMAZI/KWA-MKONGO
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
Vyumba 3( Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________r