3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana wadau wangu ipo seem nzuri Jillian kabisa na stendy ya dala dala za mbagala saku ilulu
Ina vyumba vitatu vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina vyumba vikibwa
Nyumba nzuri sana ime kamilika yote ina kila kitu wadau wangu
Nyumba ina fence gari ndogo 3 zina ingia ndani njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana ime kamilika yote ina kila kitu wai
Ina uzwa bei nzuri sana tsh million 49 tu
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175. 0652618143