3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Wadau wangu bonge la jumba hii mwenyewe ana shida sana ana iyuza bei ya kutupa sana tsh mil 55 tu
Ukiwa na maongezi Njoo site ukague mdau wangu mchawi pesa tu
Nyumba ipo mbagala chamaz kwa dumba jiji la dar es Salam wilaya ya temeke
Ina uzwa bei ya kutupa sana tsh mil 55 tu
Ina eneo kubwa square mitar 400
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vipo vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom
Ina sitting room na dining room inajiko na store ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana Njoo uone nyumba kalli sana Ukiwa serious Uwezi kuiyacha kabisa
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 3 tu
Number zangu izo nipigie cm au nicheki whatspp 0759 203175. 0759 203175 0652618143