3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA
CALL 0759 203175. 0652618143
INA UZWA IYO NYUMBA NZURI SANA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 23 TU
VYUMBA VIPO VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM
INA SITTING ROOM INA JIKO NA PUBLIC TOYLETY INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU UKUBWA WA ENEO SQUARE 180
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO JILANI KABISA NA KITUO CHA DALA DALA ZA CHAMAZI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175
0652618143