3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA INA UZWA TSH MIL 40 TU
+255652618143. +255759203175
VYUMBA VIPO VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER ⬛️ 280
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA