3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INA UZWA TSH MIL 48 TU
IPO MBAGALA KISEWE JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE
INA UZWA BEI NZURI SANA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER 28P
IPO JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI


















