3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi magengeni location st emanuel mapunda Road, Bei milioni 68 maongezi yapo kidogo. Nyumba ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, room moja ni master bedroom, jiko, public toilet ipo, store, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, fensi ya parking ipo, umeme na maji yapo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.