3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala charambe maji matitu Nyumba ya vyumba 3 vya kulala stigiroom daigiroom kuchen stoo kuchen masters police toilet Nyumba ina boikota ya vyumba 2 VYA kulala Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba ina Hati yake ya serekakil ya mtaa ukubwa wa kiwanja sqm 400 Nyumba mpya Nyumba aipo mbali na barabara kuu ya rami Nyumba full security ya umeme Nyumba bei ml 95
0788156493
0760053111