3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ipo mbagala kongoe Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya tomorrow
Ina uzwa tsh million 40 tu
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana ina eneo kubwa square miter 400
Ina full document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana
Ukubwa wa eneo square miter 700
Ina fence gari ndogo 3 zina ingia ndani
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp 0759128747 } { 0712058357
0624436503 } { whatsapp