3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA KALLI SANA INAUZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 24 IPO MBAGALA CHAMAZI MBANDE JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA MBANDE
NYUMBA KALLI SANA INAUZWA TSH MIL 24
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA JILANI KABISA NA STEND YA MBANDE
0719 514377