3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







BOSS HBARI YAKO
NAUZA HII NYUMBA TSH MIL 68 TU
IPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM
INA STTING ROOM NA DAINING ROOM NK
ENEO SQUARE MITER 450
IPO JILANI NA KITUO CHA DALA DALA ZA SAKU #0716974073 #0683491594