3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA, VYUMBA VITATU (3) TSHS.43 MILIONI, MBAGALA CHAMAZI/MIKUMI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 380.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nu nyumba mpya YAKUHAMIA.
Ipo jirani na Kituo cha Daladala.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kjna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.