3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI KWA DUMBA JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MSUFINI INA UZZWA HII NYUMBA TSH MIL 50 TU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER 400
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175. 0652618143