3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


HII INA UZWA TSH MIL 58 TU
NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA IPO MBAGALA CHAMAZI MAGENGENI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER 340
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA MAUZIANO YA OFFICE 🏬 YA SILIKALI YA MTAA
VYUMBA VIPO VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET 🚻 INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU
NJOO BOSS WANGU UKAGUE HII NYUMBA SI YA KUIYACHA KABISA IPO JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175 0652 618 143 📞 💖


















