3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ya kisasa ina uzwa tsh mil 25 tu
Ipo mbagala chamaz kwa mapunda jiji la dar es Salam wilaya ya temeke
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na jiko ina public toylety ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Kutoka stend ya dala dala ya kwa mapunda kuja kwenye hii nyumba ni dakika 3 tu
Nipigie cm au nicheki whatspp ukiwa una itaji kuiyona 0652618143. 0759203175