3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana ina eneo kubwa sana ipo mbagala chamaz kwa dumba jiji la dar es Salam wilaya ya temeke ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room Ina jiko na store
Ina uzwa tsh mil 26 tu
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki whatspp 0759 203175 0759 203175 0652618143