3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
#NYUMBA YENYE HATI YA WIZARA YA ARDHI INAUZWA MBEZI MSUMI WILAYA YA UBUNGO DAR ES SALAAM 🇹🇿
➡️BEI: MILLION 60
➡️ENEO: SQM 425
➡️UMILIKI: HATI YA WIZARA YA ARDHI.
➡️ NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA IKIWA CHUMBA KIMOJA NI MASTER.
➡️SEBLE KUBWA
➡️ DINNING ROOM
➡️JIKO ZURI
➡️ PUBLIC TOILET
➡️IPO NDANI YA FENCE NA GETI ILA NUSU UPANDE UMEDONDOKA.
➡️MAJI YANATOKA NDANI
➡️MIFUMO YA MAJI TAKA IPO VIZURI.
➡️UMEME UPO
NB: NYUMBA NI YA KISASA
DALALI VICTOR
CONTACT
0782428327